Thursday, July 26, 2018

Kwa nini wanawake wengi wanapenda kumegwa bila condom?

Walio wengi huwa wanasema zinawaumiza

Ukiondoa suala la mimba na stds, 'pipi ni tamu zaidi ikiliwa bila maganda'! Ni ajabu sana mpaka leo hii watu bado tunapima HIV kwa kutizama kwa macho.

sababu,kuna wengine wanaamini ya kuwa condom ni kwa ajili ya malaya tu{hao huwa hawapendi kujiingiza kundi hilo}wengine huhisi kwa kuwa wao wamependa kupitiliza,huyo anaempenda kwake special ni bila condom,wengine wanaona condom haina raha ni kama unawasokomezea liplastic,wengine tufe wote anajisikia raha anapomrushia mwenzake vidudu,mwengine wanapenda wanase mimba pengine wataolewa.sababu zipo nyingi,ila mihangaiko ya nini jamani?kuwa na mmoja huwa hatoshi mpaka vijana muhangaike?

Hawa wamesha choka na maisha.ndio maana hawa jali.

Ambao hajaolewa hupenda matumizi ndomu lkn wake za watu hawataki kabisa ndomu. Sijui ni kwasababu gani....

Umesema kweli na inasikitisha saana... Kuna rafiki yangu mmoja (tena msomi) nashangaa siku hio katoka kwa boy friend wake ana so much energy na furaha ya juu saaana.... ikabidi nimuulize kulikoni?? The jibu alinipa niliishiwa pose kabisa... nilishindwa sema lolote; kua huyo boyfriend wake toka wameanza huo uhusiano wa two months siku hio ilikua ni mara ya tatu kufanya hilo tendo - Siku zoote the guy alikua anatumia Condom, but siku hio hakutumia.... Furaha ya huyo rafiki yangu ilikua kwamba sasa the Guy inaonesha kaanza kumuamini (yeye mdada) maana kalala nae bila condom, hivo ni kisa cha firaha yake!! Imagine ni mwana chuo.... kasoma but elimu bado haijamkomboa pande hizo.... kwamba kipimo cha kupendwa ni kulalwa bila condom... while i thot otherwise....
mkuu ni kweli wanawake hawapendi kucondomize.sababu kubwa ni kwamba wanawake huwa wanapenda kweli.yaani anajitoa kwako kwa kila kitu ndo maana unapomtongoza inakua ngumu kukubali huwa wanogopa kutendwa.yaani yupo tayari kufa kwa ajiri yako.so vyovyote utakavyo yeye anakubali.ndo maana %kubwa ya wanake wameathirika kuliko wanaume.ndo maana ukaambiwa mwanaume ni kichwa.kwenye mapenzi mwanamke hana kauli.so wewe mwanamme akili kukichwa.usimdanganye mwenzio anapokupenda.mia