Monday, October 1, 2018

ZIFAHAMU SABABU 5 ZINAZOSABABISHA UUME KUWA MDOGO (KIBAMIA)

Kundi kubwa la  wanaume  ambao  wanashindwa  kufurahia  tendo la  ndoa  kutokana na kuwa  na uume  mdogo  kupita  kawaida...
Wanaume  walio na tatizo  hili  wengi  wao huwa  hawana  confidence  ya   kuingia  katika  mahusiano  na  wasichana  ama  wanawake  wanao  fahamiana  nao  kutokana  na  kuogopa  " siri" zao  kujulikana  hususani  pale  uhusiano  wao  unapofika  mwisho..Ikitokea  mwanaume  akiwa  katika  uhusiano  na  mwanamke "mcharuko" ( asiye  mstaarabu )  mwanamke huyo anaweza  kuanza  kumvua nguo  hadharani  kwa  kumtangazia    kwa  watu  kuwa  na  uume  mdogo ." Mwanaume  utakuwa  wewe!" na  lugha za  namna  hiyo hutawala  midomoni  mwa  wanawake  hawo....
Matokeo  yake  sasa  wanaume walio na  tatizo  hili  huamua  kutokuwa  na  uhusiano wa  kimapenzi na  wanawake  wanao fahamiana  nao, na  badala  yake  huamua kuanzisha   tabia  ya kuwa  wanajamiiana  na  wanawake  wanaouza  miili  yao  ama  kujihusisha  na  upigaji  punyeto n.k.

NINI  CHANZO  CHA  UUME  KUWA  MDOGO.
1. Kupiga  Punyeto  kwa  muda  mrefu..Hali  hii  husababisha  kusinyaa  kwa  uume  na  hatimaye  uume  kurudi  ndani.

2. Kuugua chango  la  uzazi.3. Magonjwa  ya utotoni.4. Kutahiriwa  mapema  5. Kurithi  kutoka  kwa  wazazi  :Wanaume  wengine  wana  maumbile  madogo  kwa  sababu wamerithi  maumbile  hayo  kutoka kwa  wazazi  wao