Friday, July 20, 2018

BAADA ya Kubanwa Sana Hizi Ndizo Njia Mpya za Usaliti Wazifanyayo Wanawake wa Maofisini

Huku ukijifanya kututambia ” Masela ” Kitaani na ukijishebedua kuwa Mkeo anayefanya Kazi katika Kampuni X huko Mjini kuwa ” hakusaliti ” eti kwakuwa tu asubuhi huwa unampeleka Kazini mwenyewe, mchana wakati wa Lunch huwa unampigia, mnaongea na kukuambia anakula na jioni Saa 11 au 12 huwa unampitia tena Kazini kwake na kurudi nae Kwako nadhani utakuwa unajidanganya sana na umeshaingizwa ” Kingi “.
Uchunguzi wa hali ya juu sana umegundua ya kwamba 85% ya Wake / Mademu za Watu wanaofanya Kazi za Maofisini ( zile Kazi za kueleweka na siyo za kuuza matembele au maparachichi jamani ) wamebuni mbinu mpya, kali na ya kisasa kabisa ambayo kwa kiasi kikubwa mno imewasaidia kufikia malengo ya ” kuchepuka “.
Mbinu hizo ni zipi?

Njia zao KUU za usaliti zipo mbili tu ambazo ni:
  1. Akishajua kuwa ana miadi na ” mchepuko ” wake Kesho na kama wamepanga asubuhi basi anachokifanya kwanza ni kuomba ruhusa kwa Bosi wake kuwa Kesho asubuhi atachelewa kufika Ofisini na kama alizoea kufika Saa 2 basi ataomba afike Saa 3 au Saa 4 na Bosi wake akishamkubalia tu akirudi kwa Mume / Mpenzii wake anachokifanya ni kumwambia kuwa Kesho anatakiwa kuwahi kufika Kazini hivyo badala ya kuondoka muda ule ambao wamekuwa wakitoka pamoja Saa 12 yeye sasa ataondoka kwake Saa 10 alfajiri kisha anakwenda ” kubanduliwa ” kisawasawa na ” mchepuko ” wake hadi Saa 2 asubuhi na Saa 3 anatimba zake Ofisini akiwa mwepesi na mchangamfu. ( Hii mbinu hutumiwa sana na Wanawake walioolewa au wenye Wapenzi wao ambao wanakaa mbali na mjini na kiukweli inawasaidia sana katika kuchepuka )
  2. Wanawake wengine hutumia sana ule muda wa Lunch kwenda kuchepuka na hii mbinu sasa ndiyo imekuwa habari ya mjini kwani ule muda wa Lunch wa kuanzia Saa 6:30 hadi Saa 7:30 au Saa 8:00 Wake / Mademu zenu huutumia very effectively. Hapa Mwanamke ataaga anaenda kula mahala fulani lakini wakati anaenda tayari anakuwa ameshafanya mawasiliano ya mwisho na ” mchepuko ” wake na ambapo hukutana na ” kubanduana “. ( Hii mbinu hutumiwa sana na Wanawake ambao wana Wapenzi wenye wivu uliopitiliza dhidi yao na mara nyingi mno Watu ambao huwa wanachepuka nao huwa ni ama Mabosi zao katika hiyo hiyo Ofisi au Mfanyakazi mwenzie na hapa ngono hufanyika hata ndani ya Magari yao au Lodge ya jirani na mchepuko hununua kabisa take away ya huyu Mwanamke )
Usilolijua la ziada ni kwamba mara nyingi kwa ule muda wa alfajiri wa Saa 11 Mkeo / Demu wako akiwa anaenda kwa ” mchepuko ” wake hubanduliwa bao mbili ( 2 ) za fasta fasta kisha anaachiwa awahi kwenda Ofisini na kwa muda ule wa lunch time Mkeo / Demu wako akienda kwa ” mchepuko ” wake hubanduliwa tu bao moja ( 1 ) ila la nguvu kama siyo la uhakika kisha anaachiwa muda wa kula take away aliyonunuliwa na kurudi zake Ofisini.

Mwisho.
Wanaume na Mablaza Meni ambao huwa mnajifanya kwenda kuwapitia Wake / Mademu zenu jioni Maofisini kwao huwa mnasanifiwa sana na ” wanaowabandulieni ” kwani unaweza kukuta unapomfuata Mkeo / Demu wako aliyekubandulia yupo dirishani anakusanifu tu na wengine huwa mnajifanya kuwa na moyo wa msaada na kuamua kuwapa lifti Wafanyakazi wanaofanya Kazi na Mkeo / Demu wako lakini utakuta katika hao hao Wafanyakazi wenzie uliowapakia pia umembeba na Mume mwenzio na mara nyingi kwakuwa Wewe utakuwa busy unaendesha ” Kagari ” kako Mkeo / Demu wako anachati tu WhatsApp na ” mchepuko ” wake ulio siti ya nyuma huku Wakikusanifu tu.
Nimeona leo niwawekeni wazi Wanaume wenzangu hivyo ni jukumu lenu sasa ” kuamka ” na kuwa macho ila hili halina ubishi Wanaume wengi sana wenye Wake / Mademu zenu wanaofanya Kazi Maofisini mjini ” mnachapiwa ” sana na Mabosi na Masela.