Saturday, April 28, 2018

HIZI NDIO DALILI 8 MUHIMU ZA KUONYESHA MWANAMKE AMEFIKA KILELENI.

kufika kileleni ni nini?
hii ni hali ya mwanamke kufika mshindo baada ya kushiriki tendo la ndoa au kujichua mwenyewe, hali hii humfanya hamu ya ngono aliyekua nayo mwanzo kupungua sana.

Katika 100% ya wanawake wanaojihusisha na tendo la ndoa, ni asilimia 57% tu ndio wanaofanikiwa kufika kileleni.. hii ni idadi kubwa sana na inaweza kusababisha kuvunjika kwa mahusiano kulingana na chanzo. mara nyingi wanawake amabao wameshawahi kufikishwa kileleni huko nyuma au hufika kileleni kwa kujichua wao wenyewe, huweza kuwaacha wanaume zao wapya ambao kimsingi wameshindwa kuwafikisha tofauti na wale ambao hawajawahi kufika kileleni kabisa ma wengine wameshakua kwenye mahusiano ya wanaume mpaka sita lakini bado. hawa amabao hawajawahi kabisa sio rahisi kuachana na wanaume zao kwani wao wameshajua tatizo liko kwao. sasa inshu ni kwamba bado kuna wanaume wengi ambao hua wanapata hofu yaani hawajui kama wanawake zao wanafika kileleni au vipi.. kuna aina mbili za wanawake....wapo ambao wanasema ukweli hawajafika na wapo ambao wanadanganya wamefika ili umuache aendelee na shughuli zingine kwani haoni dalili za kufikishwa na kama umekutana naye kwa mara ya kwanza anaweza asikubali tena kulala na wewe.zifuatazo ni dalili muhimu.

kubana sana kwa uke; kama ulikua unaendelea kufanya mapenzi kawaida kisha unaona uke wake unabana sana uume wako au kama ulikua umeweka kidole kisha unaona kidole chako kinabanwa basi ujue amefika kileleni kwani hiyo ni misuli ya uke ambayo hujikunja kipindi hicho...

kulegea  mwili ghafla; mara nyingi kabla ya kufika kileleni anakua amekukumbatia sana na kukushika lakini inatokea nguvu zote zinamuishia na kisha anatulia na kutofanya jambo lolote tena basi ujue amefika kileleni.

kubadilika kwa tabia ghafla; kama alikua anapiga kelele kipindi chote cha tendo na sasa amekaa kimya au alikua kimya muda wote na sasa anapiga kelele basi ujue kwamba amefika kileleni, baadhi ya wanawake huweza kukuchana na makucha mgongoni akiwa katika hali hii.

degedege; hii ni hali ya kukamaa na kulegea kwa misuli litaalamu inaitwa vibration, hutokea pale mwanamke anapokua amepiga mshindo kwa msisimko mkali sana. hutokea ndani ya sekunde chache kama 15 mpaka 30 na kuacha.

kuloana sana uke; kipindi hiki uke huloana sana na kutoa ute wenye mchanganyiko wa rangi nyeupe lakini pia baadhi ya wanawake humwaga maji mengi na kuruka kama bomba la maji..hali hii isikutishe kwani ni moja ya vitu vya kawaida.

hujaribu kuzuia chochote unachofanya; anaweza kukuzuia kuendelea kuingiza uume kwake yani utulie vile vile ulivyo au akakushika mikono yako kwa nguvu sana, au kushikia vidole vyako kama ulikua unatumia vidole vyako kumsisimua kwenye sehemu zake za siri.

kupumua kwa kasi sana; hii hutokea pale anapokua tayari amemaliza kufika kileleni, hupumua kwa kasi sana na baadae huanza kupumua taratibu.kitaalamu mtu huyu akipimwa hukutwa na presha iliyopanda na mapigo ya moyo kua juu sana. hii inaweza kua sababu kwanini baadhi ya watu vifo huwakuta wakati wa ngono.

mwisho; sio mpaka mwanamke apate dalili zote hapo juu ndio uamini amefika kileleni, akipata moja tu au mbili kati ya hizo ni dalili tosha. hivyo ukiwa makini sana sio lazima umuulize kama amefika au vipi kwani dalili hizo zitakujulisha.