Sunday, March 25, 2018

Dah, Kuna Kila Dalili Huyu Binti wa Kitanga Kashaniloga

Ni miaka mitatu toka niache haya mambo ya kua kwenye serious relationship(whatever that means) na mtu, hii ni baada ya kuja kijamaa chenye pesa na kumchukua mwanamke niliyodumu nae kwa miaka miwili,mwanamke ambaye nilihisi sitokaa kuja kumsahau, just like that, she got saved up by some dude,got married, had kids, got thick...(at least like a soccer mom).. Eway let's save that for some other time

Nikaingia rasmi kwenye chama la ma bachelor, kwa kweli hili chama nakatokea kulipenda sana na nikaapa sitakuja kulisaliti mapema, nikapokelewa rasmi na Mshkaj wangu kwenye hili chama, showed me a trick or two, maisha yanasonga

Maisha ya u bachelor raha sana, come friday night, there is nothing more than having a good shave(yeah I mean on em pr#vate parts) and go out hunting!!! Huyu Mshkaj wangu aliniyenikaribisha kwenye chama akanambia Sheria la chama ni kua ukienda mawindoni lazima urudi na nyama, man gotta eat right?? Haya ndo yakawa maisha, full kukichafua, si instragram, si viwanja, si wapi, any place u can get a nice piece of a,,,ss!! Nimeenjoy sana haya maisha until kama miezi miwili iliyopita

Huyu mtoto wa tanga, anafanya kazi kwenye supermarket moja karibu na nlipohamia, nikawa nikitoka kutafuta mkate wa kila siku napitia hapo supermarket and get some supplies, tukazoena baada ya muda( maybe because of the tips?) Well whatever!!! Tukabadilishana namba, haichukua muda she was already inside my trap, akaanza kuja kulala kwangu weekends tu(anaishi na Dada yake ambaye kila weekend anaenda Moro kwa mchumba wake) so ndo anaweza kutoroka and the sort

Tatizo ni kwamba ex wangu alikua the typo with extremely good looks rating kama ya (9/10), huyu mtoto wa tanga ni wa kawaida tu let's say (6.5/10), nilipoanza kua nae I was all in for s..ex tu na wala si kingine, sikua na feelings nae kivile hata, balaa likaanza hapa, her s..ex game is A+, been fooling around with all types of ch..icks but huyu mtoto bana,her s..ex game is A+(mind you I've never rated anyone that much before)

Ikawa weekend mi sitoki wala nini, just In with her, no more hunting games, mpaka Mshkaj wangu akawa ananishangaa, nikawa sio mtu wa kutoka tena, ila nikawa naona poa tu, after a long hauling week na hii kasi ya maguboy, who wouldnt settle in for some good s..ex?

Plan yangu ya kupiga na kusepa ikawa inaharibika kila siku zinavyozidi kwenda, she is a cool lady, keeps her head down and the sort, and yeah she run all the home errands(cooking,cleaning and the sort, ma ex su..cked at this)

Kilichonifanya nilete huu Uzi ni kwamba weekend hii ameenda kwao tanga, and am like, yay, back to the hunting game... Nampigia mshkaj namwambia am back chamani, today we hunting vile haijawahi tokea, mida ya jioni natoka mishe huyu mtoto ananipigia simu kaniomba sana nisimsaliti, ghafla mawazo yote ya kutoka yakapotea, jamaa nikampigia nikampa visababu vya kuunga unga, alafu huyu mtoto akanambia kua simu yake haina chaj blah blah+some electric problems huko kwao, analala mapema eti, kanitext na goodnight tiari, wakuu for the first time napata wivu yani, napata mawazo anaweza kua na mtu mwingine, funny thing is am feeling this for someone i never gave two shits about

Hii hapo last text aliyonitumia




Seriously this girl has thrown a monkey wrench into my plan, I was supposed to be hunting, yet here I am f*ck!ng with the internet and drinking alone on a ****!ng Friday night!



Kweli mapenzi hayana formula, i have entirely shaped my attention kwa hawa average ladies!!!

Je Inawezekana Nimelogwa na Huyu mtoto wa Kitanga au ni kawaida ?

By Hainaga ushemeji/JF