Saturday, February 17, 2018

HII NI KWA AJILI YA MAHUSIANO YA WANANDOA


Wanandoa wanapokuwa pamoja kwa muda mrefu mambo huanza kubadilika, unaweza kuanza kupoteza tumaini kwenye mahusiano yako. Inatokea, Kila ndoa inapitia  kipindi fulani  katika maisha.
Hapa kuna baadhi ya maneno ya kujifunza kila siku.
1.Mahusiano mazuri huanzia kwenye urafiki
2.Jipende mwenyewe kwanza na kila kitu kitakuwepo kwenye mstari.
3.Kwa sababu ningeweza kukutazama kwa dakika. Na kuona vitu vingi ninavyovipenda kuhusu wewe.
4.Watu wengine hushughulikia uzuri wa ubora
5.Uwe ndani ya upendo kila dakika
6.Nitawezaje kuanza jambo jipya nikiwa na mambo yote ya jana?
7.Anatupenda  sio kwa sababu tunapendwa, lakini kwa sababu yeye ni upendo.
8.Watu wawili wanaweza kufanya mapenzi lakini mapenzi sio ya muhimu.
9.Furaha ni kufurahia ulichonacho na kuwa na shukurani kwa ajili ya hicho.
10.Hakuna mtu, mwanamke au mwanaume, amewahi kuharibu ndoa nzuri.
11.Mimi ni nafsi ya zamani ambayo inaamini katika  maadili mema, romance, and love
12.Ndoa nyingi haziunganiki pamoja . hubaguana  kila mtu kivyake ndio maana matatizo hutokea.
13.Itunze kama ndio siku yako ya mwisho 
14.Unastahili kupata kilicho bora
15.Unastahili kuwa na mtu ambaye ni wazi kabisa kwako
16.Unastahili kuishi na mtu ambaye anakupenda kwa uwezo wake wote.
17.Upendo hawezi kuwa upendo mpaka kuwepo mazingira magumu.
18.Unastahili upendo na umeupata
19.Mpende mtu jinsi alivyo, sio kwa jinsi unavyotaka awe.
20.Toa hug. pata hug.
21.Kitu kizuri ninachokipenda Ulimwenguni ni pale ninapomkumbatia mtu ninaempenda na  yeye kunikumbatia kwa nguvu.
22.Mahusiano yote yanaweza  kwenda vibaya, lakini mahusiano ya kweli hufanikiwa.
Mwanaume anapopenda huwa hajali umri wa mwanamke .
Ture love doesn’t happen right away; it is an ever-growing process.  it developes after you’ve  gone through many ups and downs, when you’ve suffered togather, cried togather, laughed togather.
Heshima inapopotea mahusiano mazuri  hufikia mwisho.