Friday, January 19, 2018

UNAUJUA UMRI SAHIHI WA KUOA AMA KUOLEWA SOMA HAPA UTAJIFUNZA KITU



Kwangu mie naamini mwanaume akioa above 30 yrs atakuwa sahihi..

Sijazingatia vigezo vya dini bali upevu wa akili, utandawazi na mifumo ya socialnetworks, uchumi na matamanio ya kibinadamu...dini vigezo vyake waulizwe viongozi wa dini.

Wanawake ningependelea mwanamke awe na 25yrs au zaidi ila asizid 30yrs...nimezingatia vigezo vya kibaiolojia na hasa kile cha menopause na uzazi kukoma kwa wanawake.