Thursday, January 4, 2018

JE Kunyonyana ulimi au kula mate Kunasababisha kuambukiza VVU ?

Jibu: Njia ya mdomo inaweza kuchangia mtu kupata VVU kama mtu atakutana na mtu mwenye.
VVU mwenye vidonda au michubuko mdomoni nawe pia ukawa una michubuko au vidonda mdomoni, ili kuweza kupata VVU kwa njia ya mate inabidi kulamba mate lita 2 jambo ambalo ni gumu.