Friday, December 8, 2017

UKIENDEKEZA HASIRA KWENYE MAPENZI MY FRIEND UMEKWISHAAAAA!!!



UNAAMKA umenuna, unaoga umenuna, unavaa umenuna, unakwenda kazini umenuna. Jioni unarudi umenuna! Inasaidia nini? Kama una dukuduku na mke au mumeo, mwambie. Zungumza naye. Unanununa nini? Haitakusaidia kitu. Njia njema zaidi ya kumaliza matatizo ndani ya nyumba ni mazungumzo. Chukua hili kutoka kwangu.