Si kwa sababu upo katika matatizo ya mahusiano yako ndiyo uache kama ilivyo. Penzi la kweli huwa katika muda wote, aijalishi kitu gani kimeingilia katikati.
Jifunze jinsi ya kutatua matatizo katika mahusiano yako.
Kitu cha kwanza na muhimu katika mahusiano yako ni kukabiliana na matatizo pindi yakitokea. Kama utafanya hivi itakusaidia sana katika mahusiano yako kwa sababu kitendo cha kuacha kukabiliana na tatizo madhara yake inaweza kupadilika na kuwa full range explosion.
Wapenzi wengi wanafikiri kwamba kitendo cha kudharau tatizo ni kama litaisha lenyewe.