Thursday, November 16, 2017

FACTS KUHUSU UAMUZI WA MTU KUJIUA




·        
  • Wanaume wana nafasi mara 3 zaidi ya wanawake katika kufanya maamuzi ya kujiua, ingawa wanawake hujaribu mara 2 hadi 3 kutaka kujiua sawa na wanaume
·    
  •     Upweke, watu wanaoishi peke yao au walio pweke wana nafasi zaidi katika kufanya maamuzi ya kujiua
  •  Mtu anayeumwa, aliye dhaifu au aliyepitia vipindi vya kuugua ana nafasi zaidi katika kufanya maamuzi haya
  •  Mtu anayetumia vilevi vya aina yeyote yuko katika hatari ya kufanya maamuzi ya kujiua
  • Mtu anayeongelea au kujaribu mara kwa mara kutaka kujiua huweza kusitisha maisha yake kirahisi kuliko mtu mwingine wa kawaida.
Siku nyingine nitakujia na dalili zao za maneno na vitendo ili ukiziona au kuzisikia uchukue tahadhari – Chris Mauki