Tuesday, November 14, 2017

BAADHI YA WANAUME AKICHUKIZWA NA MKE HUWA ANASUSA MSOSI, SABABU NI HII

Mwanaume huwa apritend pindi akiwa amechukizwa na kitu fulani. Mwanaume wa kweli akipata chukizo kutoka kwa mwanamke anayemjali, lazima chukizo hilo lijionyeshe. Tofauti na wanawake wengi, mwanamke anakula chakula huku akiwa anacheka na wewe kumbe moyoni anapanga uovu wa kukufanyia.
Naamini kutokula chakula alicho pika mke ni njia ya kumuonyesha ujafurahishwa na kitu fulani. Kuliko mwanaume kuonyesha chukizo kwa kumzaba makofi na pengine kumtukana mke wake.
Mwanaume anapenda kujaliwa, kuheshimiwa. Wanawake wapendeni waume zenu muone miujiza ndani ya majumbani mwenu.