Monday, October 16, 2017

UJUMBE WA MAPENZI WA KUMTAKIA USIKU MWEMA

  
If you love someone put their name in a circle not a heart because hearts can break but circles go on forever.
  
Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia. Wala si kimya kinachotawala mazingira, bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio, nakutakia usiku mwema.
  
KWA hakika nzi hufia kwenye kidonda, shujaa hufia vitani, siku zote mtalii hufia mbugani, mwenye mapenzi ya dhati si ajabu kufia kwa ampendaye, nimekufa kwako MPENZI
  
NISEME nini ili ujue kamanakupenda? Nifanye nini ili utambue kama nakupenda?Nikuite jina gani ili ujue uko peke yako moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niaminimpenz!
  
NALIA ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona, najuta ninapokuudhi, naumia unaponitenga, nateseka ukiwa kimya, nafulahi ukinikumbuka. Nakupenda mpenzi, niondolea jaka moyo.
  
Nina mambo saba ya kukuambia, lakini kwa sasa nakumbuka 6 tu, bila shaka matano ndiyo muhimu kwa leo, ila unayopaswa kuyajua ni manne kwa sasa, oooh usijali nitakwambia matatu tu, ila kwa jinsi ulivyo naona nianze na mawili muhimu ambayo yatakugusa sana, kwa kuwa sipendi kukuumiza naomba niseme neno moja.Usiku mwema
  
NAWEZA fumba macho kwa nisilolitaka kuliona, naweza kuziba masikio kwa nisilotaka kulisikia, naweza ziba pua kwa nisilotaka kulinusa, hakika siwezi kuufunga moyo wangu kuziba nafasi ya penzi lako.
  
WALI hunogeshwa kwa nazi, mchuzi hunogeshwakwa viungo, pilipili hunogesha kachumbali, utamu wa jamu na asali hunogesha ladha ya mkate, blue band hupendezesha uji wa mtoto, penzi letu linanogesha maisha yetu.
  
Luv is like a cloud... luv is like a dream... luv is 1 word and everything in between... luv isa fairytale come true... Coz I found luv when I found U. Happy Valentines Day!
  
When you love someone, it's nothing. When someone loves you, it's somthing. When u luvsomeone & they luv you back,it's everything.Happy Valentines Day!