LOVE MESSAGES HAKIKA NI TAAAMU
- umeuteka moyo wangu kimapenzi kwako nimefika siwezi kubabaika, nionyeshe penzi nami nikunyeshe langu.
- Mpenzi amini nakupenda, usisikilize ya wambeya, watakuja tugombanisha bure, wapate furahika.
- Nisipokuona kwa siku moja moyo wangu waenda mbio, mpenzi wangu njoo usuuze moyo wangu upate kutulia.
- Ni kipi nilichokikosea hata ukasirike, kama nimekuudhi nisamehe mpenzi wangu.
- Unajua kuwa nakupenda sana ndiyo maana unanifanyia visa, ukiendelea kunifanyia ivyo utaniumiza mpenzi wangu.
- Tuliaa mpenzi wangu, mie ndio wa daima, wengineo wasione ndani nilifaidi penzi lako.
- Toka nilipokutia machoni wazimu umenipanda mzuka umesimama kila nikufikiriapo, nitulize mpenzi kwa kunionyesha penzi lako.
- Usiku mzima nakesha nikikufikiria wewe mpenzi, hivi nikupe kitu gani ujue kuwa nimekuzimikia honey.
- Natamani kunyonya ulimi wako, kwani wanipa raha mpenzi wangu, mpenzi fanya hima uje kwangu utulize munkari wangu.
- Elewa kua wawili wakipendana adui hana nafasi, hivyo tuzidishe mapenzi adui aone haya tufurahie penzi letu.