Friday, July 20, 2018

MWANAMKE NDIO HUFAIDI ZAIDI TENDO LA NDOA – ILA WENGI MNADHULUMIWA

Somo langu la leo ni juu ya wanawake  kuenjoy zaidi tendo la ndoa. Nikwambie tu kuwa kati ya mwanamke na mwanaume linapokuja swala la kufaidi na kufurahia sex basi ni mwanamke ndio anafaidi zaidi.https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnAetICLrlsaH_wAJRRmQ2MzomthBZ-KR2wwdyNnf416Dlj8J_NydFMuWyqw6rtP_Cek7G5GArkn6Bro3YbbO0CdfUzBE1EKGIuIQQngMBV8zXwMrWtjCuI_0-IB3UDAfekfw9F-j747Lb/s640/%25255BUNSET%25255D.jpg
Lakini cha kusikitisha ni kuwa wanawake wengi hudhulumiwa raha hii na wengi wao; sababu kubwa ikiwa wanaume wengi hawajui jinsi ya kuwapa raha wanawake lakini pia kwa wanawake wao wenyewe kutokuwa wazi na kujieleza vema kwa wenzi wao.
Mwanaume kwake sex ni sex haina mashiko yoyote ndio maana ni rahisi wao kukojoa hata kwa punyeto , kulala na kichaaa , wasaidizi nyumbani , yaani hoe hae. Akishakojoa basi akili inabadirika kwenda kwenye mambo mengine. Wao huendeshwa na kutamani zaidi.
Mwanamke kwake sex ni hisia – Mwanamke hawezi fanya sex na mtu kama hana feelings nae na kama ikimlazim afanye kwa maslai mengine basi atafanya tu kumridhisha huyo mtu na yeye apate anachotaka ila sio kwa ajili ya kufurahia tendo la ndoa. Kwa mwanamke sex is LOVE and FEELINGS
Wanaume wanakuwa wao ndio wa kwanza kujiona wanapenda sex ila ukweli ni kuwa wanawake wanapenda sex zaidi ya wanaume ila kutokana na mazingira na malezi wanawake huficha hisia zao ila huzifungua wanapopata partner muelewa na kupelekea wao kuenjoy tendo.
Hapa sina cha kukwambia nini ufanye maana wa kufundishwa ni mwanaume. Ila usijali sana nitakuja na waraka mwingine wenye maelezo ya nini cha kufanya kuweza kusaidiana na mwenzako