Jokate: Kuna Mtu Namtamani Sana Kimapenzi na Ninamvutia Kasi Nimpate
Akizungumza kwenye show weekend “the playlist” ndani ya studio za Times FM, Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema JojoHata hivyo Jocate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemvizia