Sunday, March 11, 2018

JINSI YA KURIDHISHANA WAKATI MWANAMKE AKIWA KWENYE HEDHI

Habari zenu? nadhani mtakuwa mko poa sana kama nilivyo mie.
Leo kuna jambo napenda kuwashirikisha ambalo wengi tunakumbana nalo.

Ulishawahi kuwa na hamu ya kufanya mapenzi lakini mwenza wako yupo kwenye siku zake za hedhi??Au kwa mwanamke ulishawaki kusikia hamu ya kufanya mapenzi wakati upo kwenye siku zako za hedhi?? Basi leo nitawaambia nini cha kufanya wewe na mwenza wako.

 Mara nyingi wanawake tunashikwa na hamu sana ya kufanya mapenzi siku za mwisho za kumaliza hedhi na mara tu baada ya kumaliza hedhi ila bado sijajua ni kwanini hali hii hutokea japo si kwa wote.Na katika kipindi hicho pia joto letu la mwili linakuwa kubwa sana kiasi cha kuongeza msisimko kwa mwanaume pindi mnapogusana. 

Nini cha kufanya?
Kama ulikuwa hujui zipo njia nyingi sana za kuridhishana nitazitaja kama ifuatavyo

KUMRIDHISHA MWANAMKE( Hedhi huwa inatoka kidogo): Hapa naomba nichambue kidogo
Taratibu sogeza ulimi wako kwenye midomo yake, mpe mate au denda kama wasemavyo wengine huku mikono yako ikipapasa sehemu zingine za mwili, taratibu shuka maeneo mengine kama kwenye shingo na kwenye matiti pia mchezee na umnyonye vizuri kabisa huku ukimshika maeneo ya sehemu zake za siri( hapa usiingize mkono kabisa namaanisha unamshika juu ya chupi yake ambayo itakuwa imeambatana na pedi) hapo hisia za mwanamke lazima zitakuwa juu na utaona akiongeza speed ya pumzi, unaweza mchezea hapo kwa muda then mpeleke bafuni atoe pedi na muanze kuoga raha zaidi kama mtakuwa mnatumia shower (wale wa tubs au vindoo vya maji mtapata shida kidogo) mpake sabuni taratibu kwenye maeneo yale hatari namaanisha kwenye kisimi huku unaendelea kumnyonya denda na mkono wako mmoja unashika matiti yake, hakikisha unakisugua vizuri kinembe chake hii inaweza kuchukua dakika kadhaa kutegemea na mtu hadi mwanamke kufikia climax.

KUMRIDHISHA MWANAUME: Hapa sitaki kuongea sana manake naweza kujikuta namwaga siri zangu za ndani

 Mwanamke usijisikie vibaya mpenzi au mume wako akiomba mzigo wakati upo kwenye siku zako na wala usikatae, we mwambie tu nipo kwenye siku zangu ila nitakuridhisha. Kama nilivyosema sitachambua sana sababu najua wanawake wengi siku hizi ni wachacharikaji
1. Sucking(Blowjob), unaweza kumnyonya mpenzi wako sehemu mbalimbali kuanzia kwenye chuchu, hadi maeneo hatari na akaweza kukojoa hapa pia maujanja lazima yatumike kwenye unyonyaje manake wengine mnanyonya utadhani unataka kumtoa mtu nyama tumia ulimi wako taratibu sana na wala usikaze ulimi
2. Handjob, baada ya kupapasana na kunyonyana maeneo yote muhimu basi unaweza paka mafuta kwenye mikono yako na kumpigia nyeto mwenza wako hadi atakaporidhika japo hii inaweza kuchukua muda kutokana na mtu na mtu
3. Matiti, hii ni kwa wale wenzangu wenye matiti makubwa, yanaweza yasiwe makubwa saaana ila muhimu ni kama matitit yanakutana basi uwezo wa kumridhisha mpenzio kwa njia hii unao, paka mafuta matiti yako yalainike then pitisha uume katikati ya matiti na muanze mchezo heheheheeeeeee patamu hapo
4. Mapaja, pia hii inanoga sana kwa wale wenye mwili kidogo, kitu cha nyamanyama hahahaaaa kama njia iliyopita paka mafuta hapo kati then pitisha

5. Hapa kwa wale wanaofunga macho, yaani anakwambia hata kama upo kwenye siku zako twende hivyohivyo, hii ni nzuri ikifanyika bafuni na vizuri pia kama mtatumia mpira ingieni bafuni mwanamke ajisafishe vizuri then mwanaume avae mpira wake vizuri then mambo yaendelee baada ya hapo ni kujisafisha tu au kama mtaenda peku(Japo sikushauri sababu ya magonjwa) basi hakikisha maji yanatiririka wakati mnasex,

Hayo ni yangu na upeo wangu sijatoa kwa mtu wala mahali, na wala msifikiri kwamba yote niliyoyaandika ndo ninayoyafanya...manake wegine hamchelewi kuanza kunitongoza teh teh teh!! TAFADHALI MSINIHUKUMU VIBAYA! Ahsante