Thursday, January 11, 2018

MAMBO NANE USIO SHAURIWA KUFANYA BAADA YA MLO


Afya ni uhai utakapo jali afya yako basi unaongeza siku za uhaiwako hapa duniani.Lishe ni muhimu kuzingatiwa na kufata miiko yake ili uwe na afya bora ,kawaida baada ya mlo tumbo linakuwa limejaa mtu anajisikia kulala au kafanya jambo lolote jingine ili aweze kujisikia ahuweni, kuna baadhi ya vitu havishauriwi kufanywa baada ya mlo unaharibu afya yako pasipo wewe kujua ila leo utajifunza ni mambo gani hayo

1.Kulala baada ya mlo mwanadamu anatakiwa kulala masaa 3 baada ya mlo wake ,iwapo akalala kabla ya hayo masaa sio vizuri kiafya,chakula kinatakiwa kisagwe tumboni mwili ukiwa unapilika pilika sio ukiwa umepumzika kwa kulala,kulala baada ya mlo husababisha matatizo ya utumbo na kukufanya kuongezeka uzito kwa haraka.



2.Kuoga baada ya mlo-kunasababisha kucheleweshwa kusagwa kwa chakula ,damu sehemu ya tumboni inakuwa inasafirishwa sehemu nyingine za mwili haswa mguuni na mikononi pindi uogapo badala ya damu kutumika  kwenye mmeng’enyo wa chakula,unachotakiwa oga ndio ule sio kula ndio uwoge.


3.Usile matunda baada ya mlo-sababu mmeng’enyo (kusagwa) kwa matunda na chakula ni tofauti unatakiwa kula matunda  masaa 2 baada ya kula mlo au lisaa limoja kabla ya mno ili vipishane kwenye mmeng’enyo



4:Kuvuta sigara baada ya mlo-unaharibu mfumo wa digestion kwa urahisi kupitia sumu ya sigara.



5.Kunywa chai baada ya mlo sio vizuri ,unakufanya kupoteza baadhi ya madini na kunyonywa kwa urahisi kama madini  ya chuma n.k kunywa chai lisaa 1 baadya au kabla ya mlo ndio sahihi kwa afya yako.



6:Kufanya mzoezi baada ya mlo ni makosa subiri yapite masaa 1 au 2 ndio ufanye mazoezi  unasababisa utumbo kushindwa kusaga chakula vizuri.


7.Kupiga mswaki baada ya mlo


8.Kukaza mganda za suruali baada ya mlo