Friday, December 22, 2017

Nafika Kileleni Haraka Sana Kabla Mpenzi Hajatosheka, Nifanyeje Jamani ?

Napata wakati mgumu sana tuwapo kwenye 6x6 kwani nawahi sana kufika Kileleni, Yaani ndani ya dakika 1 tayari nakuwa nimefika na nikishafika nakosa hamu kabisa ya kuendelea na kumsukuma boyfriend wangu pembeni.

Hata mpenzi akiniandaa upya nashindwa na sijisikii raha yoyote hata akiendelea. Hamu huja tena mpaka nilale na kupitiwa usingizi nikiamka ndio naweza kunyegeka tena.


Hata ikitokea nikachelewa kufika haizidi dakika 5. Hali hii inaninyima raha sana sana kwani sipati raha ya kushiriki mapenzi kwa muda mrefu.


Mpenzi wangu anateseka sana mara nyingi humuacha akiwa hajafika hufikia hatua hulia.


Nahofu ipo siku atachoka na hii hali na kutafuta mtu mwingine kwa sababu amevumilia hii hali kwa miaka mingi, pia najihisi na kuona aibu napokuwa nae kwani tunaishi mbali mbali kukutana ni mara chache mfano kila baada ya miezi 3 lakini bado simridhishi.


Nakuwa na hamu sana sana ya kufanya mapenzi ila tukianza tu nafika.


NISAIDIENI JAMANI.