Monday, December 25, 2017

Mabinti wa Kichaga Ndio Wanao Ongoza Kulilia Ndoa


Kwa utafiti wangu mdogo unaonesha kuwa katika makabila yote ya hapa Bongo Tanzania, mabinti wa kabila la Kichaga ndio hasa wanaongoza kwa kulilia ndoa. 

Yani ukikaa naye kwenye mahusiano ndani ya kipindi kisichozidi mwaka, lazima atakuwa ameshaanza kulilia ndoa.

Sasa ninaomba kufahamu kuwa huwa ni suala la kisaikolojia au ndivyo mila zao zinavyowafundisha kufanya hivyo?

Mabinti wengi wa kabila jingine huwa ni wavumilivu, hata kama watalilia, watalilia kindani ndani na wala huwezi jua mpaka kidume uamue kutangaza njaa ya kuweka ndani.