Tuesday, December 26, 2017

Jokate: Kuna Mtu Namtamani Sana Kimapenzi na Ninamvutia Kasi Nimpate


Akizungumza  kwenye show weekend “the playlist”  ndani ya studio za Times FM, Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince

“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jojo

Hata hivyo Jocate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemvizia