Kwa Wewe Unayekaribia Kuvunjika Moyo Na Unayeona Kuwa Hii Dunia Haipo Sawa Kwa Upande Wako, Usiendelee Kunung'unika Wala Kulaumu, Muombe Mungu Akuongoze Kwenye Njia Iliyo Njema Na Isiyo Na Mashimo, Kulalamika Hakutakusaidia Kama Ukiwa Umekaa Tu Na Kulia Bila Kunyanyuka Na Kuanza Maisha Mapya Yenye Matumaini.
Hakuna Yeyote Hapa Duniani Atakayekuja Na Kukuonyesha Njia Bila Wewe Kumuonyesha Kuwa Una Nia Ya Kufahamu Wapi Ilipo Njia, Ukiona Umezingirwa Na Shida Na Tabu Usiogope Wala Kukata Tamaa, Sali Sana Na Mpe Mungu Maisha Yako Akuongoze.
Ubarikiwe Sana.