Sunday, November 19, 2017

HIVI UTAKUA LINI??

Hivi inakuwaje marafiki zako wanaku contol kwa kiasi hicho? inakuwaje wana influence maamuzi yako kuliko hata mpenzi wako, mume wako, au mke wako? Hivi kweli maamuzi ya kuingia kwenye hiyo ndoa uliyafanya mwenyewe? au ulishawishiwa? au ulikurupuka? ama labda uliamua kuoa/kuolewa kwasababu wengine nao wameoa/kuolewa!!!. Minakushauri ukue. Umri wa miaka “chronological age” hata kobe anao, humu kwenye ndoa tunaangalia zaidi umri wa akili na kupevuka “mental age and maturity”. We shauri yako ngoja uachwe -