Saturday, October 6, 2018

Jinsi ya kumtoa msichana Bikra bila maumivu, wengi hawajui hili, Cheki hapa.

Habari zenu wapendwa,last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa 1 of my female fans,aliituma kama wiki moja iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira lakini kuna mtu ametokea kumpenda na anataka kupeana nae Raha na Utamu kwa mara ya kwanza katika Maisha yake,kwa hiyo akaniuliza maswali mawili,swali la kwanza alikuwa anataka kujua jinsi ya kumridhisha boyfriend wake,alikuwa anataka kujua mambo muhimu kwa sababu hana experience.

aliuliza Jinsi ya kupeana Raha na Utamu bila Maumivu kwa kuwa yeye bado bikira,so jibu lake ndio hii Post yenyewe.

Ingawa asilimia kubwa ya wanawake au wasichana,hupata maumivu pale wanapokuwa wanatolewa bikira zao,wapo ambao hawapati maumivu kabisa na pia wapo ambao hupata maumivu kidogo sana kulingana na hizo bikira wanatolewa na Mwanaume gani na huyo Mwanaume anajali(care) kiasi gani. 


Yapo Mambo ambayo ukifanya,kuna uwezekano mkubwa sana wa kutopata Maumivu wakati unatolewa bikira,na hata kama ukipata Maumivu basi yanakuwa kidogo sana tofauti na marafiki zako wa kike ambao kila siku wanakuambia kuwa inauma sana kitu ambacho sio kizuri kisaikolojia(psychologically),kwani wanakuwa wanazidisha uoga Ndani ya akili na Nafsi yako,na ukiruhusu Uoga ukutawale then obviously lazima utaexperience the same pain kama wao(which you shouldnt coz tendo linaitwa Raha na Utamu,na sio Raha na Maumivu)

Baadhi ya mambo inabidi afanye Mwanamke na mengine afanye Mwanaume,so itapendeza kama hii post msome wote,au soma peke ako kisha utamwambia kitu gani anatakiwa kufanya,mambo yenyewe ni kama ifuatavyo,



1.JARIBU KUWA COMFORTABLE NA ASHKI ZAKO (TRY TO BE COMFORTABLE WITH YOUR OWN SEXUALITY)

Wanawake/wasichana wengi wenye bikira wanakuwa hawana elimu ya kutosha kuhusu miili yao. Na kitendo cha kutojua kinajenga uoga na mwisho wake huo uoga unaongeza maumivu wakati wa kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza.(kisaikolojia/psychologically)

Uoga ukizidi sana,utasababisha kupunguza na kumaliza kujiamini kwako,kitu ambacho kisaikolojia,kitasababisha misuli ya uke wako izidi kukaza(clench),na uwezekano wa kukabiliana na Maumivu unakuwa mkubwa zaidi.

Badala ya kuacha uoga utawale mawazo yako,unatakiwa utafute njia za kurelax na ujifunze zaidi kuhusu hamu,ashki,hisia pamoja na mwili wako jinsi utakavyofanya kazi wakati wa kupeana Raha na Utamu,ili uweze kujiamini zaidi,na kujiamini kwako kutapunguza au kumaliza kabisa maumivu wakati wa kupeana Raha na Utamu,Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo unaweza kuzitumia kwa ajili ya kujifunza zaidi,
Soma zaidi,tafuta vitabu vya kimapenzi na hata search kwenye internet ili uweze kujua kitu gani kinaingia wapi,kitu gani ni kawaida na kitu gani unatakiwa kutarajia(what you shuld expect). Ukishajua itasaidia sana kupunguza na hata kumaliza kabisa wasiwasi wako kuhusu kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza.
Elewa Mwili wako,unatakiwa uelewe mwili wako especially kama Mwanaume/Mvulana atakaekuwa anaitoa hiyo bikira,na yeye hajawahi kufanya au hana experience yoyote kuhusu Mwili wa Mwanamke,yaani namaanisha kama hajui wapi akutomase(caress),wapi akulambe na wapi akutekenye(tickle) etc. Na Njia pekee ya kuufahamu na kuujua Mwili wako kwa uhakika na kwa urahisi zaidi,ni kupitia KUJICHUA(MASTURBATION/WANKING)

Tafuta Muda ambao utakuwa peke ako,Vua nguo zako zote,jilaze kitandani,anza kujishikashika na kujitomasa wewe mwenyewe kuanzia kwenye matiti,mapaja mpaka kwenye uke. Wakati ukiwa unajishikashika na kujitomasa mwenyewe,utaona na kugundua kuwa katika mwili wako,sehemu zenye 'Hamu' zinatofautiana kiwango cha kukupa Raha. Sasa zile Sehemu ambazo ulienjoy zaidi,unaweza ukamwambia boyfriend wako azitumie wakati anakutoa bikira ili usipate maumivu kabisa au hata kama ukipata yawe kidogo sana.
Approach Sex With A Positive Attitude,Ili kuondoa kabisa Uoga,basi hakikisha huo uamuzi wa kuitoa bikira yako,uwe umetoka Ndani ya Moyo kwa hiari yako mwenyewe,Kama unajiona unapata msongo wa mawazo(stress) juu ya kufanya uamuzi wa kuitoa bikira yako,basi ujue kuna uwezekano mkubwa kuwa Mwili na hata akili,vyote havipo teyari. Ukilazimisha ndio hapo unajikuta unapata maumivu. Ila kama ni uamuzi wako mwenyewe,hakuna aliyekulazimisha na unajiona upo teyari kuitoa,sio kwa ajili ya kumfurahisha Mpenzi wako tu,lakini pia unatakiwa uone hii step kama Daraja la kuvuka kwenye Maisha yako ya kimapenzi linalokutoa sehemu moja na kukupeleka sehemu nyingine