1. WASICHANA WAFUPI wanaongoza kwa WIVU wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.
2. WASICHANA WAREFU huwa hawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjika, na hawajui kubembeleza hata kidogo, yaani bado wao mbulula.
3. WASICHANA wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE, MBINUKO, MA‐ HIPS NA KITEMBE hawa wanaogoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi na simu zao mara nyingi wanaziwekea "password" huwezi kusoma meseji zao.
4. WASICHANA WANENE wanaongoza kwa mapenzi ya kweli yaani akipenda amependa kweli.
5. WASICHANA WEMBAMBA hao huwa ni WABISHI sana na huwa wanaongoza kwa kutendwa.
6. WASICHANA WEUSI Wanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe.
7. WASICHANA WEUPE wanaongoza kwa KUZALIA KWAO NYUMBANI, na hawa weupe sana uolewa wakiwa na watoto tayari