Sunday, March 18, 2018

FUATA USHAURI HUU KAMWE MAPENZI HAYAKUSUMBUI TENA

Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi, Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.. Kila anayeingia maishani mwako ana Syllabus mkononi mwake, Every topic anayokufundisha ichukulie serious huwezi jua mtihani wako utatungwa kwenye Topic ipi.. Usipojifunza lolote kutoka kwenye Relationships ulizopitia utaendelea kufeli daima. Usijali kuhusu listi ya Wanaume au Wanawake wangapi wametia Signature kwenye moyo wako, ila nini umejifunza kwao, The List doesnt matter....Usione Waumini 100 wamesimama kwenda kutoa Sadaka Mchungaji ukachekelea bingo,wanaweza kuweka jero jero tu,ila wanaweza kusimama Waumini 10 tu matajiri wakatoa Laki-Laki na kapu likajaa...Numbers doesnt count when it comes to Love, kuwa na listi lakini ikufunze!Ukiogopa kuumia kwenye Mapenzi hutajifunza kitu lini sasa