Rayvanny aliandika hivi “mpende ila usimuamini, mpe ila sio vyote, mtunze ila usimchunge, mpe mwili wako ila usimpe siri zako hata mkojo ulikuwa soda, vitamu ndio vichungu keep it your mind”
Kutokana na kile ambacho Rayvanny alikipost kupitia mtandao huo wa instagram ulizua maswali mengi kwa baadhi ya mashabiki na wengi kujiuliza kama ni kiki au ni kweli maana Fahyma nae alipost picha yake na kuandika “single mama” AyoTV na millardayo.com zinamtafuta Rayvanny azungumzie ishu hiyo.