Asilimia kubwa ya wanaume wenye umri wa miaka 20 hadi 40 wanakumbwa sana na tatizo hili kutokana na mfumo wa maisha kubadilika.
Vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume ni vingi sana navyo ni ÷
1)UPIGAJI PUNYETO MARA KWA MARA
2)MSONGO WA MAWAZO
3)MAZINGIRA YASIYORIDHISHA KUFANYA TENDO LA NDOA
4)UNYWAJI WA POMBE KUPITA KIASI
5)KUPOOZA/KUUGUA STROKE
6)KUUGUA KISUKARI KWA MUDA MREFU
7)ULAJI MBOVU WA VYAKULA HASA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI
8)KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI eg, viagra, estrogen, diuretic, tranquillizers, digoxin, NK 9)KUUMIA KWA KINENA (GROIN)
10)KIWANGO KIDOGO CHA TESTERON
11)KUUGUA CHANGO LA KIUME AU NGIRI
12)KUTOKUFANYA MAZOEZI
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo Hilo la nguvu za kiume huwa na Dalili zifuatazo:
HUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA ~ Huwa Hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa, tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo.
KUTOKUA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME ~ Hali hii hutokea kutokana na kutokuwepo kwa mzunguko wa damu wa kutosha kwenye uume.
UUME HUSINYAA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~ Uume husinyaa na kuwa mdogo na kurudi ndani hivyo huwa hana uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa, Hali hii husababishwa na upigaji punyeto kwa muda mrefu.
KUFIKA KILELENI MAPEMA ~ Mwanaume hushindwa kufanya mapenzi kwa dakika hata 15 hivyo huwahi kupeez ndani ya dakika 5 tu.
KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~ Mwanaume hushindwa kurudia mzunguko wa pili hivyo akifika mzunguko wa kwanza anakuwa hana uwezo wa kuendelea, Hali hii husababishwa na kutokua na msukumo wa damu wa kutosha
JINSI YA KUJIKINGA AU KUMALIZA TATIZO HILI.
Badilisha mfumo wa maisha, Kula vizuri, Fanya mazoezi, Epuka Punyeto, Punguza uzito na Tumia virutubisho.
UNAWEZA KUSHARE KWA FAIDA YA WENGINE