Tuesday, April 10, 2018

Hizi Ndizo Tofauti 7 Kati ya Mume Mwenye Mke Mmoja na Mwenye Mke Zaidi ya Mmoja.

1. Mume mwenye mke mmoja huwa hana uwezo mkubwa wa kufanya tendo la ndoa, wakati mwenye mke zaidi ya mmoja huongezeka nguvu za kufanya tendo la ndoa maradufu.
(N.B ...mwanaume anapofanya tendo mara kwa mara nguvu na uwezo wa tendo hilo huongezeka na joto la mwili pia, wakati mwanamke anapo fanya tendo mara kwa mara hupoteza hamu ya penzi na afya pia)

2. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja huwa hana tatizo la kupata likizo (kumsaidia mke kuingia siku zake) bali kama mke mmoja yupo likizo huweza kukidhi matamanio kupitia mke wa pili, tatu au nne)

3. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja kuwa na upeo mkubwa zaidi wa fikra na ufaham kuliko mwanaume mwenye mke mmoja. (N.B ...kama una mke mmoja na una upeo mkubwa basi endapo utaongeza mke utakuwa na upeo na ufahamu mkubwa zaidi ya huo ulionao sasa kwani pia utakuwa na washauri zaidi ya mmoja.)

4. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja huwa na mafasi ya kubembelezwa na kuheshimiwa ndani na nje ya familia kuliko mume mwenye mke mmoja.(N.B.. hii hutokana na maumbile waliyoumbwa wanawake ya kushindana kwenye kuonyesha mapenzi kati yao hasa anapo jua kuna anae weza kuipokonya nafasi yake ya kupendwa zaidi.)

5. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja huwa anajiamini(confidence) zaidi kuliko mume mwenye mke mmoja. kuthibitisha hilo ndio maana akathubutu kuongeza mke wa pili, tatu au nne.

6. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja hufurahikia tendo la ndoa tena kwa utam zaidi kuliko mwenye mke mmoja. (N.B... mwanamke anapokaa mda mrefu bila kufanya jimai joto la mwili wake huwa la juu zaidi na mihemko ya kutamani tendo hilo la ndoa huzidi, hii huongeza ladha zaidi kwa wote.)

7. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja huwa na DARJA ya juu zaidi katika mizani ya familia kuliko mwenye mke mmoja.

N.B: UCHUNGUZI WA KISAYANSI UMEZINGATIWA ZAIDI.
**


Imeandaliwa na IKA MATRIMONIAL AND COUNSELLING SERVICES.
kwa ushauri wa ndoa na familia: