Tuesday, March 6, 2018

LADIEZ YOU MUST READ THIS ! TABIA ZA WAVULANA PLAYERS!

1. SMAT
Hataki kupatikana akiwa kawaida hata kama ni midnight, Yaani ni msafi hadi anachana nywele akienda kulala then anapiga
blanketi pasi.
2. SECURITY CODE KWA SIMU,
Huwezi access any detail from simu yake because hata akikuonesha pasword kesho yake anabadili ingine
3. AKIPIGIWA SIM MKIWA NAYE
Replies zake zinakuaga short because hataki usikie Story zake viburudisho Vyake.
Majibu yake yanakuaga tu, eeehh, sawa, okay,nimeskia, bye, donge?,
4. UNAMTUMIA MESSAGE BUT ANAREPLY 1HOUR LATER,,,
Then excuse zake ni ati, ooh swty Iwoz vry bizy, oooh nlikua nimeseti silent mode, ooh nilikuwa ndani gari.
5. ANAKUAGA CLOSE NA MADEM WENGI,,,,
Then anazuga eti oooh,,, she'z just a friend,,,,ooh,,, niligrow/nilisoma naye,,, blah blah.
MWANAWANEE UWONGO UWONGO ?WADADA CHUNGUZENI KABLA YA KUJIBU PLS