Tuesday, January 2, 2018

Napenda Ngono na Siwezi Kudumu na Mwanamke Mmoja, Nifanyeje ?

SeeBait

Kila mmoja angependa kuwa na mwenza wa kudumu naye maisha,ila kwangu imekuwa ni tofauti kabisa,kwanza napenda sana ngono kuliko kitu chochote,kwa wiki nafanya ngono hata siku 5 au zote 7.

Pili na hili ni kubwa zaidi na la hatari ni kwamba sidumu na mwanamke kamwe,huwa kuwa na mwanamke mmoja kwa muda mrefu huwa nachoka na siwezi,mwanamke nikishamfunua tu basi namchukia na nakuwa simtaki tena na natafuta mwingine,nawapata tu kwasababu kumbuka wadada wa siku hizi ni cheap