Wednesday, December 27, 2017

Wanaume wa Kihaya Tunachunguzwa Sana Katika Mapenzi, Mademu Wengi Wanatuogopa ..WhyThis ?

 
Nauliza tu Jamani kwanini mimi kama muhaya, nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na Mtanzania wa kabila tofauti na mimi, scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place, kwani sisi male wa kihaya tunatatizo? Akina dada wengi wapo tayari kutoka na kabila lolote lakini sio 
muhaya, is it that our malehood una walakini?  I understand kuna certain stigma's attached to wahaya, lakini hello, for god's sake, hii ni karne mpya, and on top sisi ni generation mpya.
 Sifurahi kusikia akina dada wakisema nitatoka na muhaya as a last resort kwani tuna shida gani ?