Wewe kama hujaolewa halafu unapanua miguu kwa jamaa ambae sio mume wako, yani boyfriend au mchumba kwa minajili ya kujipatia hela, ujue wewe ni changudoa. Huna tofauti na wale wanaosimama usiku kujiuza.
Japokuwa wewe husimami usiku lakini jijue kuwa na wewe ni changudoa kwasababu wote mnapewa pesa baada ya tendo. Hata kama hupewi mara tu baada ya tendo kama wanavyofanya changudoa wanaosimama barabarani, lakini unapewa pesa za matumizi na mtu ambaye si mume wako kisha ukampanulia miguu, jua wewe ni changudoa au tunaweza kukuita changudoa mwenye kiwango.
Pia Unaweza Kupitia Hii: EXCLUSIVE; Ukimya Wa Diva Clouds Fm Wazua Maswali Mitaani Je Ni kweli Amehamia Efm ?
Kwa wale dada zangu ambao bado hawajaingia katika hii biashara nawashauri kufunga miguu yenu msije kujiingiza katika hii bihashara. Kwasababu mbali na kumchukiza Mungu unakuwa unajishusha thamani wewe mwenyewe.