Wednesday, November 22, 2017

BONGO QUALITY GROUP WANAKULETEA SALE HII KUBWA YA TV KWA BEI NAFUU ZAIDI

http://www.tecnologiadetuatu.elcorteingles.es/wp-content/uploads/2014/08/samsungtv.jpgNapenda kutambulisha duka jipya linaitwa Bongo Quality, ni wauzaji wakubwa wa vifaa mbalimbali vya umeme kama Tv, Friji, Air Condition n.k. Ubora wa bidhaa zao pamoja na bei zao nafuu umewafanya wawe kimbilio la wateja wengi.

Siku ya leo wanakuja na SALE kubwa ya TV, Tv zote wanazouza ni Original na wanatoa warranty ya mwaka mmoja kwa kila TV. Kitu kizuri zaidi ni kua kwa wakazi wa Dar ukihitaji TV unaletewa hadi nyumbani kwako BURE, na malipo yatafanyika baada ya kupata TV yako.

Kwa wakazi wa mikoani watalazimika kuchangia gharama za usafirishaji wa Bidhaa zao kutoka Dar hadi mkoa husika au wanaweza kuuma ndugu au jamaa aliyepo Dar akachukulia TV hiyo Ofisini. Duka lipo magomeni Mapipa mtaa wa Idrissa au unaweza piga 0716 366 999. Kw awale wanaohitaji kwa Jumla kwa ajili ya kuuza au mahotelini pia mnaweza wasiliana kwa namba hiyo hapo juu.

Ifuatayo ni list ya TV ambazo zipo kwenye sale. TV ZOTE NI MPYA

TCL LED TV
Tcl 32" => 500,000

TCL SMART TV
Tcl 32" smart tv 550,000
Tcl 43". Smart tv 900,000
Tcl 48". Smart tv 1,050,000
Tcl.55". Smart tv 1,600,000
Tcl 55". Smart 4k 1,750,000
Tcl. 55". Smart curved 4k 2,000,000

SAMSUNG LED TV's 
24inch - 380,000
32inch - 550,000
48inch - 1,400,000

LG LED TV's 
24inch - 380,000
32inch - 550,000
43inch - 950,000
 49inch - 1,350,000 
SING SUNG LED TV's 
25inch - 310,000
50inch - 1,000,000

STAR X LED TV's 
32inch - 450,000
43inch - 720,000
55inch (4K) - 1,650,000 
BOSS  LED TV + FREE TV GUARD
LED 24"@ 330,000
LED 32"@ 500,000

BOSS SMART TV
43" @ 770,000
49"@ 880,000
55"@ 1,200,000
65"@ 2,150,000 
PANASONIC LED TV
32" @ 500,000
43" @ 850,000 
PHILIPS LED TV
32"@ 480,000